Rosa Misitika
Uitgelicht
|
18,20 |
Naar shop
|
|
32,75 |
Naar shop
|
|
32,75 |
Naar shop
|
Beschrijving
Bol
Rosa Mistika ni riwaya inayohusu masaibu ya msichana Rosa aliyelelewa katika mazingira ya udhibiti wa kidini na kimila katikati ya lindi la umaskini; baadaye akakabiliwa na vishawishi pale alipoingia katika shule ya bweni na kisha chuo cha ualimu. Kutokana na malezi aliyoyapata, anashindwa kuvidhibiti vishawishi hivyo, hatimayeanapoteza maisha. Riwaya hiyo inatuingiza katika falsafa ya Kezilahabi kuhusu maisha, Mungu na ubaho (kuwapo) ambayo inajitokeza kwa kina na upevu zaidi katika riwaya zake za baadaye.Rosa Mistika is a novel about the plight of a young girl named Rosa who was raised in an environment of religious and traditional control in the midst of poverty; later she faced temptations when she entered a boarding school and then a teacher's college. Due to the upbringing she received, she is unable to control these temptations, and eventually she loses her life. The novel introduces us to Kezilahabi's philosophy about life, God and existence which emerges in greater depth and maturity in his later novels.

AmazonPrijzen voor het laatst bijgewerkt op: