Ahadi Iliyotimizwa

Prijzen vanaf
10,50

Uitgelicht


Beschrijving

Bol Diwani hii, licha ya kuwa kwake na tungo chache, 35 kwa ujumla wake, ni kasha lililohifadhi machozi, majonzi na mapenzi ya umma wa Zanzibar na nje kwa mtu ambaye alisimama kama alama na ishara ya utambulisho wao na wa nchi yao. Kadiri walivyoweza, washairi hawa wamekuwa wawakilishi wa wenzao maelfu kwa maelfu ambao hawakuweza kuziweka hisia zao maandikoni kumzika kipenzi chao. Waswahili husema: Nizike ningali hai, kwa maana ya mzee kutaka kusitiriwa na watoto wake ilhali bado ni mzima na sio kumngoja hadi afariki dunia.

Vergelijk aanbieders (1)

Shop
Prijs
Verzendkosten
Totale prijs
10,50
2,99
13,49
Naar shop
2,99 Shipping Costs
Beschrijving (1)

Diwani hii, licha ya kuwa kwake na tungo chache, 35 kwa ujumla wake, ni kasha lililohifadhi machozi, majonzi na mapenzi ya umma wa Zanzibar na nje kwa mtu ambaye alisimama kama alama na ishara ya utambulisho wao na wa nchi yao. Kadiri walivyoweza, washairi hawa wamekuwa wawakilishi wa wenzao maelfu kwa maelfu ambao hawakuweza kuziweka hisia zao maandikoni kumzika kipenzi chao. Waswahili husema: Nizike ningali hai, kwa maana ya mzee kutaka kusitiriwa na watoto wake ilhali bado ni mzima na sio kumngoja hadi afariki dunia.


Productspecificaties

EAN
  • 9781326876135
Maat


Prijshistorie

Prijzen voor het laatst bijgewerkt op:

Uitgelichte Keuze
10,50
Naar shop