Nyerere na Vijiji vya Ujamaa

Prijzen vanaf
17,00

Uitgelicht

VERGELIJK ALLE AANBIEDERS (2)

Beschrijving

Bol Msingi na dana ya tamthilia hii ni historia na lengo kuu la Mwalimu Julius Nyerere na TANU kutaka kujenga uchumi wa Ujamaa na Kujitegemea mintarafu mwongozo wa kitabu cha Azimio la Arusha, 1987. Tamthilia hii, pamoja na masuala mengine, inaangazia zaidi kuanzishwa kwa Vijiji vya Ujamaa nchini Tanzania na changamoto na matatizo yaliyojitokeza katika kuanzishwa kwake. Kwamba: Hata kama kinadharia, Azimio la Arusha lilionesha nuru na matumaini, lakini utekelezaji wake aghalabu, ulifanywa kwa kasi iliyowaelemea wanaume, wanawake na watoto. Kwamba: Wananchi wengi hawakupenda kuondoka katika vijiji vyao vya jadi. Kwamba: Vijiji vingi vipya havikuwa vijiji bali mapori yaliyokosa huduma muhimu kama hospitali, maduka, shule, barabara, n.k. Kwamba: Viongozi katika kutumia nguvu ya kupindukia, walijenga chuki na uhasama na wananchi. Mwandishi, katika tamthilia hii, anaonesha kwa kupitia visa halisi, mathalan, jinsi mkulima wa Isimani Wilayani Iringa, Mzee Mwamwindi, ambaye, baada ya kuzongwa kupindukia na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Wilbert Kleruu, siku ya tarehe 25/12/1971, alichukua bunduki yake akafyatua na kumuuwa Dkt. Kleruu. Hiki ni moja kati ya visa vingi vya ukweli ambavyo tamthilia hii imeviangazia kwa undani.The basis and theme of this play is the history and main goal of Mwalimu Julius Nyerere and TANU to build a socialist and self-reliant economy according to the guidelines of the Arusha Declaration, 1987. This play, among other issues, focuses more on the establishment of Socialist Villages in Tanzania and the challenges and problems that arose in its establishment. That: Even if theoretically, the Arusha Declaration showed light and hope, but its implementation was often carried out at a pace that burdened men, women and children. That: Many citizens did not want to leave their traditional villages. That: Many new villages were not villages but jungles that lacked essential services such as hospitals, shops, schools, roads, etc. That: Leaders, in using excessive power, created hatred and hostility with the citizens. The author, in this play, shows through real cases, for example, how a farmer from Isimani in Iringa District, Mzee Mwamwindi, who, after being severely beaten by the Iringa Regional Commissioner, Dr. Wilbert Kleruu, on 25/12/1971, took out his gun and shot and killed Dr. Kleruu. This is one of the many true cases that this play has highlighted in detail.

Vergelijk aanbieders (2)

Sorteren op:

 17,00 € 2,99 verzendkosten Totaal  19,99

 38,05 € 9,99 verzendkosten Totaal  48,04

Beschrijving (1)

Msingi na dana ya tamthilia hii ni historia na lengo kuu la Mwalimu Julius Nyerere na TANU kutaka kujenga uchumi wa Ujamaa na Kujitegemea mintarafu mwongozo wa kitabu cha Azimio la Arusha, 1987. Tamthilia hii, pamoja na masuala mengine, inaangazia zaidi kuanzishwa kwa Vijiji vya Ujamaa nchini Tanzania na changamoto na matatizo yaliyojitokeza katika kuanzishwa kwake. Kwamba: Hata kama kinadharia, Azimio la Arusha lilionesha nuru na matumaini, lakini utekelezaji wake aghalabu, ulifanywa kwa kasi iliyowaelemea wanaume, wanawake na watoto. Kwamba: Wananchi wengi hawakupenda kuondoka katika vijiji vyao vya jadi. Kwamba: Vijiji vingi vipya havikuwa vijiji bali mapori yaliyokosa huduma muhimu kama hospitali, maduka, shule, barabara, n.k. Kwamba: Viongozi katika kutumia nguvu ya kupindukia, walijenga chuki na uhasama na wananchi. Mwandishi, katika tamthilia hii, anaonesha kwa kupitia visa halisi, mathalan, jinsi mkulima wa Isimani Wilayani Iringa, Mzee Mwamwindi, ambaye, baada ya kuzongwa kupindukia na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Wilbert Kleruu, siku ya tarehe 25/12/1971, alichukua bunduki yake akafyatua na kumuuwa Dkt. Kleruu. Hiki ni moja kati ya visa vingi vya ukweli ambavyo tamthilia hii imeviangazia kwa undani.The basis and theme of this play is the history and main goal of Mwalimu Julius Nyerere and TANU to build a socialist and self-reliant economy according to the guidelines of the Arusha Declaration, 1987. This play, among other issues, focuses more on the establishment of Socialist Villages in Tanzania and the challenges and problems that arose in its establishment. That: Even if theoretically, the Arusha Declaration showed light and hope, but its implementation was often carried out at a pace that burdened men, women and children. That: Many citizens did not want to leave their traditional villages. That: Many new villages were not villages but jungles that lacked essential services such as hospitals, shops, schools, roads, etc. That: Leaders, in using excessive power, created hatred and hostility with the citizens. The author, in this play, shows through real cases, for example, how a farmer from Isimani in Iringa District, Mzee Mwamwindi, who, after being severely beaten by the Iringa Regional Commissioner, Dr. Wilbert Kleruu, on 25/12/1971, took out his gun and shot and killed Dr. Kleruu. This is one of the many true cases that this play has highlighted in detail.


Productspecificaties

Merk Africa Proper Education Network
EAN
  • 9789987871964
Maat


Prijshistorie

* Prijshistorie bevat geen data van Amazon.

Prijzen voor het laatst bijgewerkt op:

Uitgelichte Keuze
17,00
Naar shop