Sanaa YA Uigizaji Na Misingi

Prijzen vanaf
15,00

Uitgelicht

VERGELIJK ALLE AANBIEDERS (2)

Beschrijving

Bol Kitabu hiki kinahusu Sanaa ya uigizaji na misingi yake. Ni kitabu kinachomfaa mtu yeyote yule awe mkubwa au mdogo ambaye anapenda kujiongezea weledi katika Sanaa hii. Kitabu kinaelekeza namna ya kuigiza katika filamu, televisheni, redioni na jukwaani. Ni maarifa ambayo unaweza kuyapata kitabuni humu na ukaokoa fedha yako ambayo ingepotea kutokana na kuigiza kwa viwango 'duni' - jambo linalomaanisha kulipwa ujira mdogo. Lakini ukishajua namna ya kuigiza kwa misingi ambayo imedadavuliwa humu ndani, utaweza kukikuza kipato chako kwa sababu Sanaa yako itakuwa ya kiwango cha juu - na dau lako litakuwa juu (malipo yataongezeka kiwango kwa kuwa utakuwa mahiri katika Sanaa hii ya kuigiza - thamani yako itapanda).

Vergelijk aanbieders (2)

Shop
Prijs
Verzendkosten
Totale prijs
15,00
2,99
17,99
Naar shop
2,99 Shipping Costs
30,04
4,27
34,31
Naar shop
4,27 Shipping Costs
Beschrijving (1)

Kitabu hiki kinahusu Sanaa ya uigizaji na misingi yake. Ni kitabu kinachomfaa mtu yeyote yule awe mkubwa au mdogo ambaye anapenda kujiongezea weledi katika Sanaa hii. Kitabu kinaelekeza namna ya kuigiza katika filamu, televisheni, redioni na jukwaani. Ni maarifa ambayo unaweza kuyapata kitabuni humu na ukaokoa fedha yako ambayo ingepotea kutokana na kuigiza kwa viwango 'duni' - jambo linalomaanisha kulipwa ujira mdogo. Lakini ukishajua namna ya kuigiza kwa misingi ambayo imedadavuliwa humu ndani, utaweza kukikuza kipato chako kwa sababu Sanaa yako itakuwa ya kiwango cha juu - na dau lako litakuwa juu (malipo yataongezeka kiwango kwa kuwa utakuwa mahiri katika Sanaa hii ya kuigiza - thamani yako itapanda).


Productspecificaties

Merk Lulu.com
EAN
  • 9780359653102
Maat


Prijshistorie

* Prijshistorie bevat geen data van Amazon.

Prijzen voor het laatst bijgewerkt op:

Uitgelichte Keuze
15,00
Naar shop