Three Doors Down

Prijzen vanaf
11,00

Uitgelicht


Beschrijving

Bol Partner Kayla, mama mwenye uzoefu wa mapenzi yasiyodumu, ameapa kutokuwa na mwanaume milele, kama anavyodai. Hayo yalitokea kabla hajakutana na mwanaume aliyekuwa jirani mlango wa tatu kutoka kwake. Sasa hawazi kingine ila mpenzi wake Marley Jarnette. Mwenyewe Marley anaelewa kuwa ana safari ndefu kumpata Kayla kimapenzi, baadaye anagundua kuwa ana washirika wengi wa kumsaidia katika safari hiyo ndefu: Kayla ana binti zake watatu, ambao wamechoshwa na maisha wanayoishi hasa kwa ahadi laghai za mama yao. Je! Msaada wao kwa Kayla utamuwezesha agundue kuwa anamuhitaji Marley kufanikisha maisha yake?

Vergelijk aanbieders (1)

Shop
Prijs
Verzendkosten
Totale prijs
11,00
gebruikt
Gratis
11,00
Naar shop
Gratis Shipping Costs
Beschrijving (1)

Kayla, mama mwenye uzoefu wa mapenzi yasiyodumu, ameapa kutokuwa na mwanaume milele, kama anavyodai. Hayo yalitokea kabla hajakutana na mwanaume aliyekuwa jirani mlango wa tatu kutoka kwake. Sasa hawazi kingine ila mpenzi wake Marley Jarnette. Mwenyewe Marley anaelewa kuwa ana safari ndefu kumpata Kayla kimapenzi, baadaye anagundua kuwa ana washirika wengi wa kumsaidia katika safari hiyo ndefu: Kayla ana binti zake watatu, ambao wamechoshwa na maisha wanayoishi hasa kwa ahadi laghai za mama yao. Je! Msaada wao kwa Kayla utamuwezesha agundue kuwa anamuhitaji Marley kufanikisha maisha yake?


Productspecificaties

EAN
  • 9781585713325
Maat

Prijzen voor het laatst bijgewerkt op:

Uitgelichte Keuze
11,00
Naar shop