Wangari Maathai
Uitgelicht
|
29,99 |
Naar shop
|
|
41,69 |
Naar shop
|
|
41,69 |
Naar shop
|
Beschrijving
Bol
Mwaka 2004 Profesa Wangari Maathai, kiongozi wa chama cha kuhifadhi mazingira (Green Belt Movement) nchini Kenya, alitunukiwa tuzo ya Amani ya Nobel kutokana na mchango wake mkubwa katika harakati za kupigana amani, demokrasia, utawala bora, matumizi sahihi ya mazingira na rasilimali kwa manufaa ya kizazi hiki na vizazi vijayo kote ulimwenguni. Zaidi ya mchango wake mkubwa katika utunzaji wa mazingira na kuhamasisha wanawake kutetea mazingira ambayo ndiyo msingi wa ustawi, Maathai, alijikuta katika migogoro kadhaa ya kisiasa, kiuchumi na kijamii aliyopambana nayo katika kipindi chote cha maisha yake. Kutokana na matendo haya makuu, mwandishi Profesa Emmanuel Mbogo, ameona ni vyema kufungua dirisha la Historia, ili msomaji aweze kuchungulia na kupata dokezo kuhusu shujaa huyu ambaye dunia inamtambua ila yawezekana kuwa amesahaulika barani mwake.In 2004, Professor Wangari Maathai, leader of the Green Belt Movement in Kenya, was awarded the Nobel Peace Prize for her significant contribution to the struggle for peace, democracy, good governance, and the proper use of the environment and resources for the benefit of this generation and future generations around the world. In addition to her significant contribution to environmental protection and encouraging women to defend the environment, which is the basis of prosperity, Maathai found herself in several political, economic, and social conflicts that she fought against throughout her life. Given these great deeds, author Professor Emmanuel Mbogo has seen fit to open the window of History, so that the reader can peek and get a hint about this hero whom the world recognizes but may be forgotten in her own country.

AmazonPagina's: 58, Paperback, African Books Collective
Prijzen voor het laatst bijgewerkt op: