Yesu wa Nazareti alikuwa nani?

Prijzen vanaf
9,10

Uitgelicht

VERGELIJK ALLE AANBIEDERS (2)

Beschrijving

Bol Katika kitabu hiki, wafuasi wa Mnazareti wanahadithia historia halisi ya maisha ya Yesu wa Nazareti, inayojitenga kabisa na ufafanuzi wa tabaka la makasisi na ufafanuzi potovu wa wataalamu wa historia wanaoendelea kuandika, wanaotumikia kanisa au waliyoombwa na kanisa waandike vitabu kuhusu mada hiyo.Kitabuni humo mmeandikwa sehemu mbali mbali za ufunuo wa Kristo wa Mungu uliotolewa kupitia Gabriele, nabii wake, ambamo Peke yake Anatoa maelezoa kuhusu maisha yake duniani kama Yesu wa Nazareti.Sehemu: Wakati nilifikia umri wakuinukia, na nafsi yangu ilipotoka utotoni hadi ujana, Mungu akajifunua kupitia maono mengine (...) Kwa namna hiyo, nafsi yangu ikafunzwa upendo na rehema. Tayari ndani mwangu, mimi bado mtoto, mlikuwemo nguvu za kiroho ila kila mara nilikuwa nikizitumia vibaya. Mimi Yesu pia nilifunzwa kupitia makosa hayo. Sheria inasema: watu wote na nafsi zote zitaongozwa kupitia makosa na mapungufu yao hadi muda watakapoyatambua na kujirekebisha wao wenyewe.

Vergelijk aanbieders (2)

Shop
Prijs
Verzendkosten
Totale prijs
9,10
Gratis
9,10
Naar shop
Gratis Shipping Costs
9,79
2,99
12,78
Naar shop
2,99 Shipping Costs
Beschrijving (2)
Bol

Katika kitabu hiki, wafuasi wa Mnazareti wanahadithia historia halisi ya maisha ya Yesu wa Nazareti, inayojitenga kabisa na ufafanuzi wa tabaka la makasisi na ufafanuzi potovu wa wataalamu wa historia wanaoendelea kuandika, wanaotumikia kanisa au waliyoombwa na kanisa waandike vitabu kuhusu mada hiyo.Kitabuni humo mmeandikwa sehemu mbali mbali za ufunuo wa Kristo wa Mungu uliotolewa kupitia Gabriele, nabii wake, ambamo Peke yake Anatoa maelezoa kuhusu maisha yake duniani kama Yesu wa Nazareti.Sehemu: Wakati nilifikia umri wakuinukia, na nafsi yangu ilipotoka utotoni hadi ujana, Mungu akajifunua kupitia maono mengine (...) Kwa namna hiyo, nafsi yangu ikafunzwa upendo na rehema. Tayari ndani mwangu, mimi bado mtoto, mlikuwemo nguvu za kiroho ila kila mara nilikuwa nikizitumia vibaya. Mimi Yesu pia nilifunzwa kupitia makosa hayo. Sheria inasema: watu wote na nafsi zote zitaongozwa kupitia makosa na mapungufu yao hadi muda watakapoyatambua na kujirekebisha wao wenyewe.

Amazon

Pagina's: 52, Paperback, Gabriele Publishing House


Productspecificaties

Merk Gabriele Publishing House
EAN
  • 9783964462268
Maat


Prijshistorie

* Prijshistorie bevat geen data van Amazon.

Prijzen voor het laatst bijgewerkt op:

Uitgelichte Keuze
9,10
Naar shop